🛑BUSATI LEO JANUARI 28, 2025.
Kwa sifa za Tanzania hakuna taifa la kufanana na Tanzania kwa sababu ya upekee wake wa kumiliki rasilimali nyingi za kipekee ulimwenguni, mafuta kutoka kwenye visima huko uarabuni tanzania yapo,…
🛑KUMEKUCHA LEO JANUARI 28, 2025.
leo Kumekucha imekuja na taarifa nyingi za kukugusa mtanzania na miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na ile ya SGR kuongeza safari za treni,huku kibaha ikipandishwa hadhi na Dkt. Samia…
🛑TANZANIA BORA LEO JANUARI 28, 2025.
Leo januari 28 mwaka 2025 gazeti la Tanzania Bora limekuletea taarifa lukuki zinazohusu maendeleo ya Tanzania na namna serikali inavyozidi kupambania wananchi wake kwenye miundombinu lakini kubwa kuliko ni ile…
🛑MJASIRIAMALI LEO JANUARI 28, 2025
Leo januari 28, 2025. gazeti la mjasiriamali limefungua na kuonyesha fursa mbali mbali za kumuwezesha kila mtanzania kuwa sehemu ya wanufaika wa mazao ya uongozi bora wa nchi kupitia fursa…
🛑Rais Samia kuishusha pumzi Afrika
Wakati Mkutano wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ujulikanao kama Mission 300, ukiwa umeanza jana, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa ‘kuishusha pumzi’ Afrika pale atakapounguruma…
🛑MAGAZETINI LEO MICHEZO,BURUDANI
Burudika kwapamoja na washkaji kwa kuwapatia nakala ya magazeti haya yanayo kusogezea habari na matukio ya michezo na burudani na ukajihisi bora wakati wote. #maisha sio magumu hivyo mtuwangu #ongeza…
🛑MAGAZETINI LEO
Kutana na fursa, habari za kukufunza na kukujuza juu ya mwenendo wa ulimwengu kupitia nakala za magazeti haya. #unasubiri nini mtuwangu #kamata fursa
🛑WAAFRIKA MILIONI 300 KWENYE MPANGO WA MKUTANO WA NISHATI.
Leo kwenye mkutano wa wakuu wa afrika kujadili nishati unaofanyika jijini Dar es salaamu katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere International Convetion Center (JNICC) Naibu Waziri mkuu wa Tanzania…
🛑FAHAMU JINSI YA KUFUGA VIFARANGA.
mjasiriamali unapokuwa na vifaranga vya kuku, lazima utaweka mazingira mazuri ya mahali pa kulelea (Brooder), ambapo hapa tunakuelimisha ili ujue unapaswa, utayarishe mahali pa kukuzia kwa kutumia vifaa gani. Hard…
🛑ACHA MASIHARA, LIMA BAMIA ITAKUTOA!
UNAWEZA kufaidika na kuongeza pato kwa kuzalisha bamia tambua hilo, ila kwa kama unataka kujua ni kwamba bamia ni zao linalolimwa sana nchi za joto. Zao hili hutumika kama mboga…