HABARI ZA KITAIFA

HABARI ZA KIMATAIFA

Maandamano yafanyika ubalozi wa Pakistan

ISLMABAD, Pakistan Maandamano yamefanyika karibu na ubalozi wa Pakistan huko Hague ambapo waandamanaji walidai "msamaha rasmi bila masharti" kwa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi...

CHINA YAMUWEKA KIZUIZINI MBUNGE WA UHOLANZI

BEIJING, China Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...

MWANDISHI WA HABARI AILALAMIKIA PAKISTAN

ISLAMABAD, Pakistani MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...

MAKALA

COSTECH inavyowaibua Waandishi wa habari kwenye Ufugaji

Na Dotto Kwilasa,Dodoma ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...

Fahamu siri sita za ufanisi wa kibiashara kutoka kwa mtu tajiri zaidi duniani

BBC,UINGEREZA SIKU chache zilizopita Elon Musk alitangazwa kuwa mtu tajiri zaidi duniani, akimpiku mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos. Utajiri wa mfanyabiashara huyo wa magari ya Tesla...

China yasema iko tayari kununua samaki kutoka Tanzania

   >> Asisitiza  soko la samaki  nchini humo ni kubwa Na  AZIZA MASOUD,DAR ES SALAAM SAMAKI ni moja ya biashara kubwa ambayo inafanywa na watanzania wengi na...

MICHEZO

Kim Poulsen: Safu ya ulinzi imetuangusha

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘TAIFA STARS’, Kim Poulsen amesema kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Kenya ‘Harambee Stars’, kimetokana na...

Uongozi wa Azam FC umetoa taarifa kuhusu kuzuia kwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi kutumika kwa ajili ya michuano ya kimataifa iliyo chini ya...

Mshambuliaji Yanga, Ditram Nchimbi atimiza mwaka bila kufunga goli

Mshambuliaji wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans, Ditram Nchimbi amefikisha mwaka mmoja bila kufunga goli ligi kuu ya Vodacom. Striker...
23,126FansLike
816,000FollowersFollow
9,402FollowersFollow
1,080,000SubscribersSubscribe

ZILIZOSOMWA ZAIDI

NICKI MINAJ AJIFUNGUA

Imeripotiwa kuwa Mwanamuziki Nickiminaj Pamoja na mpenzi wake Kenneth Petty wamepata mtoto wao wa kwanza baada ya Nicki Kujifungua siku ya Jana huko Los...

Kenyatta afuta uwezekano wa Marekani kushambulia al-Shabab kutoka Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekiambia kituo cha habari cha France 24 kwamba hataidhinisha mashambulizi ya kutumia ndege zisizokuwa na rubani dhidi ya wanamgambo...

Mambo sasa: ‘Tundu Lissu anachokifanya ni kutafuta umaarufu tu’

Kamanda wa polisi kanda ya maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa Mgombea urais kwa tiketi ya CHEDEMA, Tundu Lissu ‘anatafuta umaarufu...

SIMBA KUFANYA SHEREHE YA UBINGWA MORO

TIMU ya Simba inatarajia kufanya sherehe ya ubingwa na mashabiki wake leo mkoani Morogoro, kabla ya kuelekea jijini Dodoma kuifuata JKT Tanzania. Wekundu wa Msimbazi...

MAMA SALMA NJIA NYEUPE UBUNGE

Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Salma Kikwete, ameendelea kufanya mikutano ya kampeni katika kata na vijiji...

AFYA

Wawili wakutwa na corona Barcelona

MADRID, HISPANIA KLABU ya Barcelona ya nchini Uhispania imethibitisha kuwa maafisa wake wawili wamekukutwa na COVID-19 usiku wa kuamkia jana (Januari 5, 2021), baada ya...

Wataalamu wa TEHAMA watakiwa kutengeneza mfumo wa ufuatiliaji dawa hospitalini

Na Mwandishi Wetu  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel amewataka wataalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano...

Waganga wakuu watakiwa kuwahamasisha wananchi kujiunga na CHF

Na Nteghenjwa Hosseah , Katavi WAGANGA  Wakuu wa Halmashauri zote nchini wamekumbushwa kujitathimini kuhusu uandikishaji wa wananchi kwenye Bima ya afya ya jamii iliyoboreshwa (CHF). Kauli...

Corona ilivyochangia kuongeza tofauti kati ya walionacho na wasionacho

NA MWANDSIHI WETU,DAR ES SALAAM DESEMBA mwaka 2019 dunia iliingia katika  historia baada ya kuzuka kwa virusi vya Corona   vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19,virusi hivyo...

Uzalishaji dawa kiwanda cha Keko wamridhisha waziri

Na Mwandishi Wetu  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda cha dawa...

Burudani

Historia ya mwanamuziki Michael Jackson inasikitisha

NA MWANDISHI WETU MICHAEL Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka 1958, akiwa ni mtoto wa nane kati ya kumi wa mzee Joe Jackson na Catherine...

Gigy Money apigwa ‘stop’ kujishughulisha na sanaa miezi sita

Na Mwandishi Wetu  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi sita msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Gift Stanford maarufu Gigy Money, kutojihusisha na...

Latest Articles

Maandamano yafanyika ubalozi wa Pakistan

ISLMABAD, Pakistan Maandamano yamefanyika karibu na ubalozi wa Pakistan huko Hague ambapo waandamanaji walidai "msamaha rasmi bila masharti" kwa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi...

CHINA YAMUWEKA KIZUIZINI MBUNGE WA UHOLANZI

BEIJING, China Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...

SAMATTA ATOA NENO ZITO

Na Mwandishi Wetu MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...

MASOKO, VITUO MADINI VYAONGEZA MAPATO

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...

MWANDISHI WA HABARI AILALAMIKIA PAKISTAN

ISLAMABAD, Pakistani MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...

TIZI LA AZAM FC USIPIME

*Yajiandaa kuivaa Mtibwa Aprili 6 *Yashusha mashine nyingine kimyakimya NA MWANDISHI WETU TIMU ya  Azam FC imeendelea kujifua ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya Ligi Kuu...

Must Read