Home Kitaifa

Kitaifa

Wakulima wa korosho wapewa somo kuhusu magonjwa

NA  MWANDISHI WETU,TANGA UBWIRI unga ni ugonjwa unaolikumba zao la korosho nchini Tanzania na pale usipodhibitiwa husababisha hasara kati ya asilimia 70 hadi 100. Ugonjwa...

Mhagama aagiza vibali vya kazi kwa raia wa kigeni kuharakishwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amewaagiza watendaji katika wizara hiyo kukamilisha mfumo...

HISTORIA YA TANGANYIKA KABLA YA UHURU

NA JONAS MUSHI LEO ni siku ya maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Tanzania bara ambayo zamani ilijulikana kama Tanganyika kabla ya kuungana na...

Takwimu sahihi zimeipaisha Tanzania kiuchumi

Na John Mapepele, Singida TAKWIMU sahihi zilizokusanywa kutoka kwenye sekta mbalimbali za kimkakati za Mifugo, Kilimo na Uvuvi nchini zimeifanya Tanzania chini ya Uongozi wa...

CUF kutoshiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  CUF KUTOSHIRIKI UCHAGUZI WOWOTE KUANZIA SASA Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuanzia sasa chama hicho...

Mbowe, Lema mbaroni kwa kuratibu maandamano

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma...

Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura

>>Waipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa maandalizi mazuri >> Wasema uchaguzi wa mwaka huu umeenda vizuri kuliko uliopita NA WAANDISHI WETU, PEMBA ZOEZI la...

Amani yatawala Uchaguzi Mkuu

>> Magufuli awaongoza Watanzania kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani >> Apanga foleni Kama wananchi wengine >> Asisitiza kuna maisha na kuomba  amani iendelee kutawala Na...

Stay Connected

22,910FansLike
816,000FollowersFollow
9,402FollowersFollow
1,070,000SubscribersSubscribe

Latest Articles

Ujenzi wa madarasa ubungo waanza kwa kasi, RC Kunenge apokea saruji 800

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge Leo amepokea mchango wa mifuko 800 ya Saruji kutoka Kiwanda Cha Twiga Kama sehemu...

COSTECH inavyowaibua Waandishi wa habari kwenye Ufugaji

Na Dotto Kwilasa,Dodoma ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...

INFINIX YAPASUA ANGA KUWAFIKIA MASHABIKI WAKE KIMATAIFA

Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali  yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...

Watumishi 23 wa MOI wachunguzwa wizi dawa, vifaa tiba vya Bil 1.2

Na Mwandishi Wetu  Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...

Mkandarasi ujenzi wa daraja la JPM atakiwa kutoa ajira kwa wazawa

Na Dotto Kwilasa,Mwanza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...