NEWYORK,MAREKANI
WATU wengi sana wamekuwa wakishangaa matajiri na kuwaza kuwa kundi hili dogo la watu wenye fedha nyingi wanakuwa wakipata wapi utajiri huo.
Kuna njia mbalimbali...
NAIROBI,KENYA
MAMILIONI ya watoto nchini Kenya wanarudi katika shule za msingi na zile za upili huku kukiwa na masharti yanayolenga kupunguza maambukizi ya virusi vya...
NEWYORK,MAREKANI
RAIS wa Marekani Donald Trump amerekodiwa akimwambia afisa mkuu wa uchaguzi Georgia atafute kura za kutosha kuwezesha kubadilishwa kwa matokeo ya uchaguzi.
"Nataka tu kupata...
NA MWANDISHI WETU
WANAWAKE wa Freemason wamekuwa wakikongamana kwa zaidi ya miaka 100 sasa-wakifanya matambiko na sherehe sawa na wenzao wa kiume.
Lakini si watu wengi...
Na MWANDISHI WETU
Katrina Esau anafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa lugha yake asili, ambayo kwa sasa inazungumzwa na watu watatu pekee, haiangamii.
Bi Esauni, 84, ni...
Maafisa wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara kaskazini mwa Auustralia.
Shirika la huduma kwa wanyama pori na...
WASHINGTON, MAREKANI
Aina mpya ya kirusi cha corona kinachoaminka kusambaa kwa kasi, imeripotiwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani na Amerika ya Kusini wakati rais...
MOSCOW, URUSI
Wachunguzi wa umma nchini Urusi wamesema wamefungua mashtaka mapya ya jinai dhidi ya Alexei Navalny ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali nchini humo....
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...