CHECHEFU NI AIBU TUPU
- Mabilioni ya pesa yakwamishwa makusudi na wajanja wachache mahakamani - utaratibu ni kila anayeshindwa kulipa mkopo hukimbilia mahakamani kuweka zuio la dhamana zake zisifidie mikopo - wakopaji wanachezesha kesi…
DK. SAMIA MWENDO MDUNDO
Na. Mwandishi wetu Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kutoa gawio kwa serikali kiasi cha Bilioni 153.9 na kwamba wanaopiga kelele kuwa ‘mama…
🛑BASHUNGWA AITAKA TBA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA ZA WATUMISHI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde kuusimamia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kushirikiana na Halmashauri, Manispaa, Miji na Majiji katika…
🛑Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azindua tathmini ya PSSN II
Na Mwandishi Wetu,ZANZibarMAKAMU wa Pili wa Rais ,Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Tanzania inatekeleza Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (PSSN II)…
🛑MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA – MSEMBE WASAINIWA, BILIONI 142.5 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56…
🛑BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA KANISA KIGOMA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani…
🛑HABARI NJEMA KWA WAWEKEZAJI JIJI LA TANGA
Kongamano la uwekezajijiji la Tanga kuibua fursa L Mkurugenzi Mhandisi Hamsini awaita wafanyabiashara, wawekezaji kuchangamkia fursa zilizopoL Asema uwepo wa miundombinu ya uhakika ya usafiri ikiwemo reli, barabara, anga na…
MAJALIWA: TAASISI ZA SERIKALI ZINAZODAIWA NA TEMESA KUKIONA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala, kuwasilisha Ofisini kwake orodha ya Taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na Wakala huo ili…
🛑 Eng. KASEKENYA AHIMIZA KASI UJENZI BARABARA ARUSHA
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amemtaka Mkandarasi STECOL COMPANY anayejenga barabara ya Mianzini-Sambasha inayounganisha barabara ya Mianzini -Ngaramtoni juu-Olemringaringa Sambasha zenye urefu wa KM 18 katikati ya jiji…
STATE OIL WAKUBALI YAISHE MIKOPO CHECHEFU
- waamua kuondoa kesi mahakamani na kukiri kuwa walikopa na wamekubali kulipa dola milioni 13.5 sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 35 walizokataa kulipa awali - Ni za mkopo walioukopa…
MAHAKAMA YAJITENGA NA UOZO WA MIKOPO CHECHEFU
Na. Mwandishi wetu Usemi wa DAWA YA DENI NI KULIPA , unaweza kuwa ndio tafsiri ya Mahakama inayoitoa dhidi ya makampuni na wafanyabiashara wakubwa waliokopa mabilioni ya pesa na kisha…
WAKILI MIKOPO CHECHEFU AWAPONZA WATEJA WAKE|WATAKIWA KUZILIPA BENKI MABILIONI
Na. Mwandishi wetu, Usemi wa siku za mwizi arobaini na na mchuma janga hula na wakwao unaelekea kuendelea kumkuta wakili frank mwalongo anayedaiwa kuzunguka katika makampuni kadhaa ya wafanyabiashara wakubwa…