Home MICHEZO

MICHEZO

Corona inavyovuruga ratiba ya michuano mbalimbali Ulaya.

Michuano Ligi Kuu Uingereza (EPL) na EFL ratiba ya michuano hiyo itaendelea kama ilivyopangwa isipokuwa wachezaji hawaturuhusiwa kupeana mikono kama ishara ya...

Corona yapiga kalenda mechi ya Arsenal na Man City

London, UINGEREZA Uongozi wa Ligi Kuu Uingereza, (EPL) umeahirisha mchezo baina ya Arsenal na Manchester City uliotarajiwa kuchezwa leo...

Alliance Girls yapata ajali ikielekea Kigoma

NA MWANDISHI WETU Kikosi cha Alliance Girls kimepata ajali kikiwa njiani kuelekea mkoani Kigoma kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

Tammy Abrahama aweka rekodi mpya London

NA MWANDISHI WETU Nyota kinda wa Klabu ya Chelsea, Tammy Abraham ameweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji wa kwanza...

Kuelekea ‘Kariakoo Derby’ Kocha wa Yanga afumua kikosi

NA MWANDISHI WETU Kocha wa timu ya Yanga, Mbelgiji Luc Eymael, amepangua kikosi chake dhidi ya mchezo wa leo...

Mama wa Ronaldo augua ghafla, akimbizwa hospitali

NA LULU RINGO, DAR ES SALAAM Mama mazazi wa Nyota wa Mpira wa Miguu duniani, Cristiano Ronaldo, Dolores Aveiro...

Corona yaathiri derby ya Juventus na Inter Milan

NA LULU RINGO Baraza linalosimamia Soka nchini Italia limetoa taarifa kuwa ‘Derby’ ya Italia kati ya Juventus na...

Zamalek, Zanaco kuonyesha mechi zao bure, Mauritius yashusha kocha mpya

Timu ya Taifa ya Mauritius imemtangaza Kocha Mankour Boualem kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Mankour amesaini mkata wa muda mfupi utakao...

Wasafi yazindua michuano ya mpira wa miguu

NA MWANDISHI WETU Kamati ya Michezo ya Kampuni ya Wasafi Media leo Februari 27 imezindua michuano ya Mpira...

Sare za Yanga za waibua mashabiki, waulaumu uongozi

NA PROTUS EDSON (DSJ) Mashabiki wa Klabu ya Yanga wameulalamikia uongozi wa klabu hiyo baada timu yao kupata sare michezo minne...

Yanga yakanusha sakata la mishahara ya wachezaji

NA KELVIN SHOO, TUDARCO  UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekanusha vikali taarifa za uzushi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii,...

Shabiki ‘dogo’ wa Man U aliyemuandikia barua Klopp akimtaka asishinde EPL

Mwandishi Wetu Shabiki wa Timu ya Manchester United, ‘dogo’ Daragh Curley (10) amemuandikia barua Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akimuomba aache kushinda...
- Advertisment -

Most Read

Yanga yampatia Tshishimbi mkataba mpya

NA MWANDISHI WETU Klabu ya Yanga SC, imesema kuwa tayari imemaliza kazi yake ya kuhakikisha inambakiza kiungo tegemeo wa...

Tetesi za soka barani Ulaya

SANCHO AITIKISA UNITED Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Timu ya Taifa ya Uingereza, Jadon Sancho (20), amesema hatakuwa tayari...

Makonda: Wazururaji hawatakwenda mahabusu watazibua mitaro ya maji machafu

NA MWANDISHI WETU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa watu watakaokamatwa kwenye mkoa huo kutokana...

Chui katika hifadhi ya wanyama ya Bronx akutwa na Virusi vya Corona

NEW YORK, MAREKANI Chui wa kike wa Malaysia aliyefahamika kwa jina la Nadia mwenye umri wa miaka minne katika hifadhi...