Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Issa Mtemvu ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukamilisha kazi ya kufikisha maji...
Mwaka 2020 karibia unafikia ukingoni, bila shaka mwaka huu umekuwa ni mwaka wa
changamoto nyingi kwa duniani nzima, lakini pamoja na hayo mwaka 2020 ni...
Kufuatia maagizo aliyotoa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge kwa machinjio ya kisasa Vingunguti kuhakikisha wanarekebisha kasoro zilizoonekana kwenye jaribio...
NA PRISCA ULOMI, WMTH
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile amelitaka Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA – CCC)...
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Ni ukweli usiopingika kwamba nchini Tanzani kuanzia wasomi na hata wale wasio na elimu ya darasani swala la kilimo cha malisho...
>>Ni fedha zilizotolewa ndani ya miaka kumi
>>Miradi yakamilika kwa zaidi ya asilimia 70
NA MWANDISHI WETU,DODOMA
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zilizopo Afrika...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaifisha mzigo wa madini ya almasi ambao ulikutwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ukiwa unasafirishwa...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...