Wizara ya Ardhi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa...
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema uchaguzi mdogo wa nafasi ya uwakilishi jimbo la Pandani Mkoa wa Kaskazini Pemba utafanyika mwakani, Machi 28.
Taarifa...
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewashukuru Watanzania kwa kumchagua Rais John Pombe Magufuli Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na...
Na Waandishi Wetu
Matokeo ya ubunge yanayoendelea kutangazwa leo Alhamisi Oktoba 28, 2020 yanaonyesha wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuibuka na ushindi katika majimbo...
Na Mwandishi Wetu
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini amemtangaza, Dk. Tulia Ackson wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi kwa Jimbo la Mbeya...
ISLMABAD, Pakistan
Maandamano yamefanyika karibu na ubalozi wa Pakistan huko Hague ambapo waandamanaji walidai "msamaha rasmi bila masharti" kwa mauaji ya kimbari yaliyofanywa na jeshi...
BEIJING, China
Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...
Na Mwandishi Wetu
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...
ISLAMABAD, Pakistani
MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...