Na Mwandishi Wetu
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi sita msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Gift Stanford maarufu Gigy Money, kutojihusisha na...
NA MWANDISHI WETU
2021 unafaa kuwa mwaka mwengine wa mavuno katika muziki wa Afrika.
Wametazama ni nani anayeandaa nini katika mitindo na sauti mbali na ni...
Penzi la mwanamuziki Vanessa Mdee na muigizaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria limezidi kunoga baada ya Rotimi kumvisha pete ya uchumba dada yetu...
NA MWANDISHI WETU
MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya Bongo Fleva, Ben Pol anatarajia kuuaga mwaka 2020 na kuukaribisha mwaka 2021 kwa staili ya kipekee.
Ben...
NA MWANDISHI WETU
Janga la virusi vya corona limewaathiri kwa kiasi kikubwa wapendanao 'ambao wamekuwa na ndoto ya kufanya harusi kubwa.
Lakini wapenzi wa Malaysian wameweza...
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
UNAPOWAZUNGUMZIA wanamuziki wenye tungo nzuri na wanaojua kutumia vyombo vya muziki Bongo, kamwe huwezi kulitaja jina la kijana ambaye aliibuliwa...
NEWYORK,MAREKANI
RAFIKI WA zamani wa mwanamuziki nguli duniani hayati Michael Jackson Ron Burkle, hivi majuzi alinunua nyumba iliopo katika shamba hilo huko Los Olivos, California, msemaji...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...