PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 29, 2025
BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YAGUSA KILA ENEONA MWANDISHI WETUNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha Bajeti ya…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 25, 2025
BALOZI NCHIMBI ATEMBELEA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFANA MWANDISHI WETUKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 24, 2025
MSIMAMO MKALINa Mwandishi WetuWAZIRI wa Kilimo,Hussein Bashe amepiga marufuku rasmi bidhaa zote za kilimo kutoka nchini Afrika Kusini na Malawi kuingia nchini.Uamuzi huo umekuja baada ya Bashe kuzipa siku saba…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 23, 2025
MAJALIWA: ZAWADI YA DK. SAMIA NA DK MWINYI NI KUWAPA 'MITANO TENA'NA MWANDISHI WETUWAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kuwa zawadi pekee ya thamani kwa…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 22, 2025
PAPA FRANCIS AAGA DUNIARAIS wa Jamhuri ya Muungano Dk. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu zarambirambi kufuatia kifo cha kiongozi wa Kanisa katoliki duniani Papa Francisko aliyefariki jana.
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 21, 2025
JOKATE: CCM ITAANDIKA HISTORIA UCHAGUZI MKUUNa Mwandishi WetuKATIBU mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate mwegelo, amesema Chama kitaandika historia mpya katika uchaguzi mkuu wa mwaka…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 18, 2025
WASIRA AMPA MAKAVU KADA WA CHADEMANA MWANDISHI WETUMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho hakina chuki wala kisasi na mtu yeyote na kinaamini…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 17, 2025
CHADEMA SIKIO LA KUFANA MWANDISHI WETUMTIFUANO mpya umeibuka ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa Zanzibar, Said Issa Mohammed…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 16, 2025
BASHE AWAKINGIA KIFUA WAKULIMANA MWANDISHI WETUKATIKA kile kinachoonyesha kuwatetea wakulima, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameionya Mamlal ya Mapato Tanzania (TRA) kutowalazimisha wakulima kutumia mashine za kutoa risiti za kielektroniki…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 15, 2025
MAKALA: DK SAMIA NI KIONGOZI WA VITENDONA MWANDISHI WETUKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameacha alama kwa…