BALOZI NCHIMBI APOKEA NA KUJIBU MASWALI YA WANANCHI MBOZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akisikiliza na kujibu maswali ya wananchi mbalimbali waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akiwa njiani, eneo la Mlowo, Mbozi, wakati…
DC SAME AWATAKA WANANCHI KUTUNZA MIRADI ILIYOZINDULIWA NA MBIO MWENGE 2024
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni amewataka wananchi kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anashiriki kikamirifu kuilinda na kuitunza miradi yote…
DKT. JAFO AZINDUA MRADI WA TWIGA YA KIJANI
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote Tanzania Baraupanda miti pembezoni mwa barabara ili kuipendezesha miji na…
UOZO ETDCO
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameielekeza Tanesco kuifumua menejimenti ya kampuni ya usambazaji wa vifaa ya Tanesco ETDCO na kuivunja bodi ya…
HUJUMA YA MIUNDOMBINU TANESCO INATISHA
DKT. BITEKO AFICHUA ORODHA YA HATARI MATENDO YA UHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA TANESCO Na. Mwandishi wetu Naibu Waziri mkuu na waziri wa Nishati nchini Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameelekeza kuondolewa…
DKT. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya Kampuni Tanzu ya TANESCO ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya…
DC SAME AIAGIZA TRA KUTUMIA UBUNIFU KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI
Na Ashrack Miraji Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti…
MAJALIWA AGUSA MAKUBWA YA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU
Na. Mwandishi wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imeshuhudia magaeuzi na maboresho makubwa ya kiuchumi, kijamii na kisiasa katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt.…
MAANDALIZI UZINDUZI MBIO ZA MWENGE YAFIKIA ASILIMIA 90
Na: Mwandishi Wetu – KILIMANJARO Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameeleza hadi sasa maandalizi ya uzinduzi wa mbio za…


