Watu 18 wamefariki baada ya lori kukosea njia Kusini Magharibi mwa Congo
Lori lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi lilishindwa kudhibitiwa na kutumbukia kwenye korongo kusini-magharibi mwa Congo, na kuua abiria 18 waliokuwa ndani ya gari hiyo na kuwajeruhi zaidi ya kumi…
Rais mpya wa Liberia aapishwa
Joseph Boakai ameapishwa kuwa rais wa Liberia siku ya Jumatatu kufuatia ushindi wake dhidi ya nyota wa zamani wa soka George Weah, kwa changamoto ya kukabiliana na umaskini na ufisadi.Mchezaji…