KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI UZALISHAJI VIFARANGA VYA SAMAKI KUKUZA UCHUMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya Sh. Bilioni 3.5 kwa ajili ya kupanua uwekezaji katika Kituo cha Kuendeleza…
MENEJA RUWASA ATOA SIKU SABA KUUNDWA KAMATI MPYA KUTATUA KERO YA MAJI, SINGA
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Maneja wa RUWASA wilayani Moshi, Mussa Msangi, ametoa agizo la kuuundwa kwa kamati mpya ya maji ndani ya siku saba katika Kijiji cha Singa kufuatia…
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPONGEZA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria yaridhishwa na juhudi zinazoendelea nchini za kuthibiti dawa za kulevya. Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Dkt. Joseph…
🔴 BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI / AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale…
RAIS SAMIA ATOA HELIKOPTA KWA MAWAZIRI KUTAFUTA UFUMBUZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA YA LIWALE – LINDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Helikopta kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais…
Askari wa kikosi cha Mbwa na farasi wawafariji wagonjwa na wahitaji hospitali Zakhem-Mbagala
Askari Polisi wa kike kikosi cha Mbwa na farasi Makao Makuu Dar es salaam wameendelea kuyakumbuka makundi ya wahitaji licha ya kuwa na dhamana ya kuwalinda raia na mali zao…
BASHUNGWA ATOA SIKU 4 KWA TANROADS KUKAGUA BARABARA NA MADARAJA YOTE NCHINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa…
WANAFUNZI WA SHULE MSINGI KIBWERE HATARINI KUPATA MAGONJWA YA KIAMBUKIZA KWA KUKOSA CHOO
Wanafunzi wa shule ya msingi kibwegere iliopo Mkoa wa Dar es salaam ,Wilaya ya Ubungo, kata ya Kibamba wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya kuambukiza kutokana Uhaba wa…
SEKTA YA UTALII YATOA FURSA ZA UWEKEZAJI KANDA YA KUSINI MWA TANZANIA
Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi na wenye kampuni za uwakala wa utalii wametakiwa kujitokeza kuwekeza katika sekta ya utalii hasa kanda ya kusini hususani katika Hifadhi ya taifa…


