🔴JAMVI LA HABARI LEO JANUARI 29, 2025.
Sifa na utukufu zimueendee aliefanya watu na vitu kuwepo duniani kwani uwepo wa gazeti la jamvi la habari ni kuwa na tunu yakukupa thamani kwa habari mchanganyiko za kukufanya uwe…
🔴FIKRAPEVU LEO JANUARI 29, 2025.
Wakati watu wakiwaza namna ya kujisogeza na kwenda na kasi ya ulimwengu wanasahau kwamba wanahitaji masaada wa kuwa na fikra pevu na mwishowe wanafeli kuendana na kasi ya ulimwengu. Ni…
🔴MJASIRIAMALI LEO JANUARI 29, 2025.
Leo januari 29, 2025, Gazeti la mjasiriamali limekufungulia fursa kwa taarifa mbalimbali za kujufanya uwe miongoni mwa walio iona fursa siku ya leo. miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na…
🛑FAHAMU NJIA ZA KUPITA NA KUWA BILIONEA.
WATU wengi wamenaswa kwenye mbio za panya huku wakijaribu kugundua njia halisi ya mafanikio. Lakini vipi nikikuambia si lazima iwe ngumu jinsi watu walivyoifanya? Je, ikiwa ungeweza kupata mafanikio kwa…
🛑KILILIMO NI UTI WA MGONGO KWASABABU.
KILIMO kimekuwepo tangu kale za mababu zetu. Binadamu wa kwanza walipata chakula chao kwenye mazingira yanayowazunguka na kwa juhudi kama uwindaji kabla ya kuanza kulima ardhi, kupanda mazao na kufuga…
🛑SIDO,WAJASIRIAMALI MAMBO SAFI.
KATIKA utekelezaji wa mikakati yake na hususani kwenye uwekezaji, Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) limeendelea kuhakikisha wajasiriamali wazalishaji wanapatiwa maeneo mazuri ya uzalishaji wa bidhaa zao. Lengo ni kuhak…
🛑JAMVI LIA HABARI LEO JANUARI 28, 2025.
mara kadhaa watu huketi na kujadili juu ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamimii, burudani na michezo katika sehemu tofauti tofauti, lakini hili jamvi ni kwaajili yako uketi nasi kwa kuchukua…
🛑FIKRAPEVU LEO JANUARI 28, 2025.
kung'amua ni sehemu ya maisha ya kilasiku, lakini ili ung'amue vyema na kuzaa matunda kupitia mchakato huo wa kung'amua, lazma uwe na tafakuri kubwa zitakazo zaa fikira pevu ili utatue…
🛑BUSATI LEO JANUARI 28, 2025.
Kwa sifa za Tanzania hakuna taifa la kufanana na Tanzania kwa sababu ya upekee wake wa kumiliki rasilimali nyingi za kipekee ulimwenguni, mafuta kutoka kwenye visima huko uarabuni tanzania yapo,…
🛑KUMEKUCHA LEO JANUARI 28, 2025.
leo Kumekucha imekuja na taarifa nyingi za kukugusa mtanzania na miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na ile ya SGR kuongeza safari za treni,huku kibaha ikipandishwa hadhi na Dkt. Samia…