- Fahamu namna Tundu Lissu alivyoingi akwenye vitabu vya historia kwa kumgaragaza mwenyekiti wake Freeman Mbowe kisha kumteua aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho John John Mnyika kuendelea na wadhifa wake huo
- Fahamu pia namna Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi ambaye hivi karibuni alichaguliwa na mkutano mkuu wa CCM Dodoma kuwa mgombea Urais wa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi ujao wa nchi huku daktari Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akipitishwa na mkutano huo kuwa mgombea urais wa Muungano
- kwa hayo na mengine mengi, fungua hapo chini kabisa uweze kujisomea magazeti ya leo ya kiswahili uhabarike, uelimike na kwa hakika uburudike
HABARI KUU MAGAZETINI LEO JANUARI 23, 2025 HIZI HAPA
Leave a comment
Leave a comment