DC SAME AIAGIZA TRA KUTUMIA UBUNIFU KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI
Na Ashrack Miraji Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti…
MAJALIWA AGUSA MAKUBWA YA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU
Na. Mwandishi wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imeshuhudia magaeuzi na maboresho makubwa ya kiuchumi, kijamii na kisiasa katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt.…
MAANDALIZI UZINDUZI MBIO ZA MWENGE YAFIKIA ASILIMIA 90
Na: Mwandishi Wetu – KILIMANJARO Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameeleza hadi sasa maandalizi ya uzinduzi wa mbio za…
MFUMO KUWASAIDIA WAHAMAJI WAJA
Na WMJJWM- Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa…
ONYO KALI
‘’Ziko changamoto, changamoto hizo sio za Dkt. Samia Suluhu Hassan ni sisi wasaidizi wake, kutokujua kutafsiri maono ya Rais wetu na kutekeleza kwa kasi, huu mradi huyu mkandarasi atamaliza mapema…
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO MAZITO TAMESA KUHUSU VIVUKO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma…
KITUO CHA JPG POLKYCLKINIC CHATOA MATIBABU BURE KWA WAZEE
Kituo cha Jamii Partners Group (JPG) POLYCLINIC kilichopo Chang'ombe mtaa wa keko bora ambacho kuwepo kwake ni kutokana uwezeshaji wa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe.Rais Dkt. Samia…
MKATABA WA KWANZA WA WAZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA WASAINIWA HAI, MBUNGE SAASHISHA AISHUKURU SERIKALI
Na Ashrack Miraji Mkataba wa kwanza wa Wazi katika vyama vya ushirika na ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza umesainiwa leo kati ya chama cha ushirika cha MUROSO SANGI…
MDAU WA MAENDELEO APELEKA TABASAM KWA WANANCHI WA SINGA KWA KUWAJENGEA ZAHANAT YA KISASA
Ashrack Miraji, (Same) Kilimanjaro. Wanakijiji wa Singa,kata ya Kibosho Mashariki mkoani Kilimanjaro wameonesha kufurahishwa kwa kujengewa zahanati na Mdau wa maendeleo Joseph Mushi ambaye amechukua hatua ya kujenga zahanati ya…


