🛑BUNGELAPONGEZAUWEZESHAJIWANAWAKEKIUCHUMI
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kuratibu kwa ufanisi utekelezaji wa Programu ya…
🛑WANANCHI KUPIGWA MSASA ELIMU YA FEDHA
SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha, imeahidi kuendelea kutekeleza azma yake ya kuhakikisha elimu ya fedha inawafikia wananchi wote ili kuhakikisha kuwa wanaelimika kuhusu masuala ya fedha, mikopo, uwekezaji ili kuwawezesha…
🛑SERIKALI, SEKTA BINAFSI ZAKUTANA KUJADILI BIASHARA
MAONO na maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yamewezesha kufanyika kwa kikao muhimu na chenye tija, kati ya Serikali na Wizara ya Viwanda na Biashara ili kujadili changamoto mbalimbali…
⚽KAULI YA RAMOVIC YAKERA WENGI
NA ASHA SEKEFUKAULI ya Kocha wa Yanga, Saed Ramovic, ya kudai Ligi Kuu Tanzania Bara imewaibua wadau mbalimbali ambao wamesema, anatakiwa kuomba radhi kwani kusema hivyo ni kuikosea heshima nchi…
⚽SIMBA SC YAWAOMBEA URAIA WACHEZAJI 9 WAKIGENI
Klabu ya Simba SC leo tarehe 23 Januari 2025, imetuma maombi kwenye idara ya uhamiaji kuomba wachezaji wao 9 wa Kimataifa ambao hawapati nafasi kwenye timu zao za Taifa ili…
WATACHEZA MIDUNDO YA FADLU ??
NA MWANDISHI WETUKWA sasa Simba inaonekana kujipata, haswa baada ya kufanya vyema katika Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu, huku wapinzani wake wakionekana kuanza kucheza ‘beats’ za kocha Fadlu…
CHUMA ULETE INAVYOWAKONDESHA WAFANYA BIASHARA WENGI
NA MWANDISHI WETUWAKATI ikiwa ni kilio kikubwa juu ya ‘‘Chuma Ulete’, kitu ambacho kinawakondesha wajasiriamali wengi, baadhi yao wanaamini kuna watu wanaishi maisha ya anasa na starehe bila kufanya kazi.…
⚽YANGA KUITAMBULISHA MASHINE YA KUGUSA NA KUACHIA JUMAMOSI
NA MWANDISHI WETUJONATHAN Ikangalombo winga hatari wa Yanga aliyesajiliwa kutoka AS Vita kutoka nchini DRC, ambaye Jangwani wanamwita 'Mashine ya Kugusa na Kuachia' atatambulishwa rasmi kwa mashabiki pia ataanza kuichezea…
⚽ELIE MPANZU AZIDI KUNOGA MSIMBAZI
NA MWANDISHI WETUSIMBA inaendelea kujivunia usajili wa kiungo wake mshambuliaji hatari Elie Mpanzu aliyeanza kuitumikia timu hiyo baada ya usajili wa dirisha dogo, akitokea katika klabu ya As Vita nchini…
☘️UTUPA: MMEA WENYE MAAJABU MAKUBWA DUNIANI
UTUPA ni aina ya mmea unaopatikana zaidi sehemu zenye baridi hasa nyanda za juu na unastawi sehemu zenye mvua za wastani na nyingi. Mmea huu hauhimili ukame. Utupa hukua haraka…