🛑HONGERA RAIS SAMIA MKAKATI KAYA MILIONI 8.3 KUPATA UMEME.
JUZI Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema kuwa Mpango Mahsusi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa unalenga kuiwezeseha Tanzania kuunganisha umeme kwa kaya milioni 8.3 zaidi ifikapo mwaka…
KUMEKUCHA LEO JAN 30, 2025.
Leo tena jogoo amewika tumeamka na niishara ya kumekucha na tunapata taarifa zilizojiri.Gazeti la kumekucha Leo limeangaza kwa ukubwa nguvu ya siasa katika maendeleo kwa kuosnyesha patashika za kutaja mafanikio…
FIKRAPEVU LEO JAN 30, 2025.
Fikrapevu Leo kumechangamka Makamu mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira Amchana Lissu awena fadhila kwa Dkt. Samia huku Mbowe aingia mitini kumkabidhi Lissu ofisi.Taarifa kamili chukua nakala ya gazeti hili kisha…
BUSATI LEO JAN 30, 2025
Leo gazeti la BUSATI limekuletea taarifa kedekede ili uhabarike na usiwe nyuma ya wakati. Kubwa katika gazeti la busting leo ni pamoja na "Dkt. Samia Aubeba utalii" ameubeba kupitia nini…
MJASIRIAMALI LEO JAN 30, 2025.
Leo gazeti la mjasiriamali limeangaza na kukuletea taarifa za kukufungulia fursa za ulimwengu huku zikikuongoza katika mafanikio wewe kama mjasiriamali.Kubwa Leo ni Rais Samia kupambania kaya milioni 8.3 ili zipate…
🔴SPOTI MASTA LEO JAN 29, 2025.
Kazi kubwa pumzisha ubongo uongeze thamani ya mawazo yako na ufanye ubunifu kwa kuruhusu vitu laini kuingia akili na ni burudani na michezo tuu sidhani kama kuna kingine. Leo Jan…
🔴KUMEKUCHA LEO JAN 29, 2025.
Sauti ya jogoo asubuhi niishara ya siku nyingine ya kupambana na kuashiria KUMEKUCHA. Gazeti la kumekucha ni tunu ya kila mtanzania mwenye uhitaji wa kufahamu kuhusu Tanzania na jinsi Tanzania…
🔴TANZANIA BORA LEO JAN 29, 2025.
"Mkataa kwao mtumwa jamani" ipo haja ya kukubali ubora wa unachomiliki kwani ni chako na ndiyo halal yako. Gazeti la Tanzania Bora linakujuza na kukuelimisha ubora wa Tanzania sasa kwani…
🔴BUSATI LEO JANUARI 29, 2025.
Keti chini nikueleze fahari ya Tanzania utalii, tamaduni, asili, mila na desturi, mali na hata upekee wa rasilimali zake. Kwani haufahamu kuhusu Kilimanjaro, vipi kuhusu Ngorongoro na Mikumi, Wahadzabe je?.…
🔴JAMVI LA HABARI LEO JANUARI 29, 2025.
Sifa na utukufu zimueendee aliefanya watu na vitu kuwepo duniani kwani uwepo wa gazeti la jamvi la habari ni kuwa na tunu yakukupa thamani kwa habari mchanganyiko za kukufanya uwe…