Japan yampa kipa ‘sapoti kamili’ baada ya unyanyasaji wa kibaguzi
Zion Suzuki ana “usaidizi kamili” wa kikosi cha Japan katika Kombe la Asia baada ya mlinda mlango huyo kudhalilishwa kwa ubaguzi wa rangi mtandaoni, kocha wao alisema Jumanne. Suzuki mwenye…
Mwanamuziki wa Nigeria Ruger aifungua lebo yake ‘Blown Boy EnT’
Mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria, Michael Adebayo Olayinka, anayejulikana sana kama Ruger, amezindua studio yake mwenyewe inayoitwa ‘Blown Boy Ent.’ Tangazo hilo lilitolewa kupitia Instagram story ya Ruger…
Travis Scott, Luke Combs, Burna Boy kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy za 2024
Burna Boy, Luke Combs na Travis Scott wameongezwa kwenye orodha ya wasanii wa Tuzo za 66 za Grammy za kila mwaka, Chuo cha Kurekodi kilitangaza Jumapili, wakiungana na wasanii waliotangazwa…
Ole Leikata: Mil 700 za Rais Samia zamaliza ujenzi wa daraja korofi la Kiseru wilayani Kiteto
Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali…
ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda…
Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza…
Venezuela yawakamata watu 32 kwa madai ya njama ya kumuua Rais Maduro
Mamlaka ya Venezuela imewakamata raia 32 na wanajeshi baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa kuhusu kuhusika kwao katika “njama” inayoungwa mkono na Marekani ya kumuua Rais Nicolas Maduro, ofisi ya…
Watu 18 wamefariki baada ya lori kukosea njia Kusini Magharibi mwa Congo
Lori lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi lilishindwa kudhibitiwa na kutumbukia kwenye korongo kusini-magharibi mwa Congo, na kuua abiria 18 waliokuwa ndani ya gari hiyo na kuwajeruhi zaidi ya kumi…