🛑ZANZIBAR HEROES YAZINDUA JEZI ZA MAPINDUZI CUP 2025
Zanzibar Heroes Wazindua Jezi Mpya kwa Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025Timu ya Taifa ya Zanzibar, maarufu kama Zanzibar Heroes, imezindua jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Kombe la…
ZUCHU KUFUNGA MWAKA SAROVA WHITESANDS NAIROBI.
Msanii wamuziki wa kizazi kipya Zuhra Othman (ZUCHU) kesho Disemba 31 atafanya onyesho la KUFUNGA mwaka katika fukwe za SAROVA WHITESANDS nchini Kenya onyesho lililopewa jina la magic night. ZUCHU…
⚽MKEKA WA LIGI KUU HUU HAPA
Kivumbi cha mechi 15 kwa kila timu inayocheza ligi kuu msimu huu wa 2023/24 kimekamilika Simba anaeongoza ligi akiwa anamiliki point 40 kwa tofauti ya alama moja na aliyopo nafasi…
🛑RAIS DKT. SAMIA AMLILIA MAREHEMU MH. JAJI MWANAISHA KWARIKO
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Desemba 30, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa…
“C C M WANATUFUATILIA SANA “LEMA
Anaandika Godbless Lema kupitia Ukurasa wake Wa X "CCM wanatufuatilia sana, wana hifadhi kila kauli zetu juu ya wagombea wetu wote ktk mchakato wa uchaguzi wa Chama wa viongozi wakuu…
🛑DKT. KAZUNGU AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea mradi wa kufua Umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP), wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115kwa ajili ya kukagua…
WAANGUKIA PUA
- ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao- walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa - Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai,…
Брокер InstaForex: обзор 2025 ️ Развод или нет?
Он предназначен для тех, кто пополняет счет для торговли. Каждый раз, когда вы это делаете, команда InstaForex будет добавлять 30% от общей суммы депозита к вашему текущему балансу. Если вы…
🛑IBADA YA KUMUOMBEA MUZIKI MALU STONCH YAFANYIKA SALA SALA
Viongozi wa Parokia ya Mtakatifu Benedict Abbas iliyopo eneo la Salasala, Kata ya Wazo, Wilayani Kinondoni, wameendesha Ibada Maalum ya kumuombea aliekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya FM Academia Malu…


