π¨ππππππ ππππππππ”πππππππππ πππππππ ππππππππ
Na Philipo Hassan - MwanzaSHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Busybee imezindua Kampeni yake ijulikanayo Valentine Weekend Gateway jijini Mwanza, lengo likiwa ni kuhamasisha…
πͺBENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU
NA MWANDISHI WETUWAZIRI wa Madini,Anthony Mavunde,amebainisha kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchini ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na…
π¨WOSIA MZITO WA MBOWE NI MWANZO WA CHADEMA MPYA
NA ILHAM JUMAMWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema uchaguzi wa viongozi ndani ya chama hicho umeacha majeraha mengi miongoni mwa wanachama. Kufuatia hali hiyo,…
β½MANCHESTER UNITED KUNA VIMEO WANANE, England
WAPO NANE! Imeelezwa Manchester United kuna wachezaji nane ambao hawana sifa za kuichzea timu hiyo, huku ikidaiwa hata ufikaji wao hapo inabidi βwaulizwe kwa makiniβ wale waliowaleta. Kauli hiyo imetolewa…
β½SIMBA: TUNAOGOPWA AFRIKA
NA ASHA SEKEFUWACHEZAJI Simba wametoa yao ya moyoni na kusema, kufanikiwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wakiongoza kundi lao kumeifanya timu hiyo izidi kuogopwa zaidi barani…
β½GARNACHO HACHOMOKI LONDON.
LONDON, EnglandTIMU ya Chelsea wanatazamiwa kufanya mazungumzo zaidi na Manchester United kuhusu winga wa Argentina Alejandro Garnacho, 20, ambaye thamani yake ni pauni milioni 50. Wakati hayo yakiendelea, Manchester United…
β½CUNHA SASA AGOMBEWA
LONDON, EnglandMABOSI wa Nottingham Forest wanataka kumsajili Matheus Cunha Januari hii, Arsenal pia wameonyesha nia ya kutaka kumsaini mshambuliaji huyo wa Wolves. Nottingham Forest kwa sasa inamtaka kwa udi na…
π¨NOTI MPYA KUANZA FEBRUARI MOSI
NA MWANDISHI WETUGAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema kuwa noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za…
π΄ HUSSEIN MWINYI:TUJIANDIKISHE TUPIGE KURA,CCM ISHINDE KWA KISHINDO
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Hussein Ali Mwinyi…