🛑 TANAPA YASEMA UJAUZITO MWISHO SHULE YA SEKONDARI SITALIKE – MPANDA
Na. Jacob Kasiri - Mpanda. Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara - TANAPA Herman Batiho amekagua Bweni la wasichana jana Februari 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Sitalike…
🛑 TANZANIA NA BURUNDI WASAINI MKATABA WA KIBIASHARA
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri Bakari akipokea zawadi kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Burundi Backbone System (BBS), Bw. Jeremie Diomede Hageringwe, baada ya zoezi la utiaji saini Mkataba wa…
🚨 MAPINDUZI MAKUBWA YAJA SEKTA YA UONGEZAJI THAMANI MADINI
Tanzania na Thailand Zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kupitia Taasisi za Jemolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (TGC) na Taasisi ya Jemolojia, Vito na Usonara ya Thailand (GIT) inayolenga…
🛑 SERIKALI IMEDHAMIRIA KUWAONDOA WACHIMBAJI WADOGO KWENYE UCHIMBAJI WA KUBAHATISHA
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata taarifa sahihi za…
🛑 TTCL NA BBS ZASAINI HATI YA MKATABA WA KIBIASHARA KUONGEZA HUDUMA KWENYE MKONGO WA MAWASILIANO
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Shirika la Mawasiliano la Burundi (BBS ) zimetiliana Saini hati ya mkataba wa Kibiashara Wenye lengo la kuongeza huduma kwenye Mkongo wa mawasiliano. Mkataba…
BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU – KILOMBERO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara ( Km 66.9) kwa…
Ulinzi shirikishi dhana inayobebwa na wananchi kikamilifu Makumbusho
ULINZI shirikishi ni ushirikishwaji wa jamii nzima na wadau wa masuala ya usalama katika kubaini , kuzuia na kutatua uhalifu na kero mbalimbali za uhalifu katika jamii kwa kushirikiana na…
WANANCHI KIJIJI CHA SINGA KATA YA KIBOSHO WALAZIMIKA KUNYWA MAJI MACHAFU YA MTO KARANGA
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Wananchi hao wamesema wanalazimika kunywa maji hayo kutokana na mgao mkubwa wa maji uliopo katika kitongoji hicho kwa mwezi wanapata mgao wa maji mara moja…
Waziri Kairuki mgeni rasmi tamasha la Utalii la Same Utalii Festival
Ashrack Miraji Same kilimanjaro Akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya tamasha hilo, mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amesema kwa sehemu kubwa maandalizi yamekamilika matarajio ni…