🔴 UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi…
🔴 POLISI YAWATAKA WANANCHI KUWATAJA WEZI WA MIFUGO ENDASAK.
Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo…
“TUWAELIMISHE VIJANA NAMNA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU” MHE. UMMY
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi kuwa karibu na vijana kuwaelimisha namna ya kujikinga na maambukizi ya VVU. Mhe. Ummy ameyasema…
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI UZALISHAJI VIFARANGA VYA SAMAKI KUKUZA UCHUMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya Sh. Bilioni 3.5 kwa ajili ya kupanua uwekezaji katika Kituo cha Kuendeleza…
MENEJA RUWASA ATOA SIKU SABA KUUNDWA KAMATI MPYA KUTATUA KERO YA MAJI, SINGA
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Maneja wa RUWASA wilayani Moshi, Mussa Msangi, ametoa agizo la kuuundwa kwa kamati mpya ya maji ndani ya siku saba katika Kijiji cha Singa kufuatia…
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPONGEZA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria yaridhishwa na juhudi zinazoendelea nchini za kuthibiti dawa za kulevya. Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Dkt. Joseph…
🔴 BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI / AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale…
RAIS SAMIA ATOA HELIKOPTA KWA MAWAZIRI KUTAFUTA UFUMBUZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA YA LIWALE – LINDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Helikopta kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais…
Askari wa kikosi cha Mbwa na farasi wawafariji wagonjwa na wahitaji hospitali Zakhem-Mbagala
Askari Polisi wa kike kikosi cha Mbwa na farasi Makao Makuu Dar es salaam wameendelea kuyakumbuka makundi ya wahitaji licha ya kuwa na dhamana ya kuwalinda raia na mali zao…


