🛑 SERIKALI YAJIPANGA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOATHIRIWA NA MVUA MKOANI RUKWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi…
🛑 MIAKA 60 YA MUUNGANO TANZANIA YAPATA RAIS WA KWANZA MWANAMKE: WAZIRI JENISTA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mh. Jenista Mhagama amesema kuwa katika maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano kwa mara ya kwanza Tanzania inajivunia kuwa…
🛑 Katibu Mkuu CCM ,Dkt. Nchimbi awataka Watanzania kudumisha amani na Upendo
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt Emanuel Nchinbi, amewataka watanzania kuendelea kudumisha amani na upendo iliyopo nchini, huku akitoa rai kwa Watanzania kumuombea Dua Rais wa…
🛑 WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA NA WAZIRI SILLO: BABATI
MANYARA - Na Mwandishi wetu Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kata za Galapo na Kashi kwa pamoja wamejumuika kumuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.…
🛑 BASHUNGWA AWASILI MKOANI KATAVI, KUKWAMU MIRADI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Mpanda, Mkoani Katavi katika ziara yake ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, leo tarehe 08 Aprili…
BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI – DAREDA MISSION BABATI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wt akala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara…
DKT. JAFO AZINDUA MRADI WA TWIGA YA KIJANI
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote Tanzania Baraupanda miti pembezoni mwa barabara ili kuipendezesha miji na…
UOZO ETDCO
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameielekeza Tanesco kuifumua menejimenti ya kampuni ya usambazaji wa vifaa ya Tanesco ETDCO na kuivunja bodi ya…
HUJUMA YA MIUNDOMBINU TANESCO INATISHA
DKT. BITEKO AFICHUA ORODHA YA HATARI MATENDO YA UHUJUMU WA MIUNDOMBINU YA TANESCO Na. Mwandishi wetu Naibu Waziri mkuu na waziri wa Nishati nchini Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameelekeza kuondolewa…
DKT. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO
Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya Kampuni Tanzu ya TANESCO ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya…


