🛑 WATALII 10 MAARUFU KUTOKA OMAN WATUA NCHINII
Katika Kukuza Sekta ya Utalii nchini Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imepokea wageni 10 maarufu kutoka nchini Oman (Dream Team Explorers) ambao watatembelea, kuona…
🛑 SERIKALI KUJENGA DARAJA LA MITOMONI – RUVUMA
Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya…
BALOZI NCHIMBI APOKEA NA KUJIBU MASWALI YA WANANCHI MBOZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akisikiliza na kujibu maswali ya wananchi mbalimbali waliojitokeza barabarani kumsalimia wakati akiwa njiani, eneo la Mlowo, Mbozi, wakati…
🛑DKT. BITEKO AZITAKA TARURA,TANESCO KUFIKISHA HUDUMA ZAKE NGORONGORO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuhakikisha linapeleka huduma ya umeme kwenye maeneo ya miradi ya maendeleo ili kuharahisisha…
🛑 WALAWITI NA WABAKAJI WATOTO KUKIONA : NAIBU WAZIRI SILLO
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo (Mb) amewataka wale wote wanaotafuta utajiri kwa dhana potofu ya kulawiti na ubakaji watoto kuacha mara moja kwani Serikali…
MWENGE KUANGAZA MIRADI YA ZAIDI BILIONI 10 YA MAJI VIJIJINI TANGA
Na.Stanslaus Kivumbi, Tanga Miradi ya maji katika wilaya mbalimbali za mkoa wa Tanga yenye wastani wa thamani ya shilingi bilioni 10 iliyo katika hatua mbalimbali za utekeelzaji chini ya wakala…
DC SAME AWATAKA WANANCHI KUTUNZA MIRADI ILIYOZINDULIWA NA MBIO MWENGE 2024
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe. Kasilda Mgeni amewataka wananchi kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anashiriki kikamirifu kuilinda na kuitunza miradi yote…
🛑 “UVCCM TUTAENDELEA KUMLINDA RAIS WETU DKT SAMIA KWA HALI NA MALI” KAWAIDA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ameweka bayana kuwa Umoja wa Vijana wa CCM utaendelea kumlinda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…


