SOMA GAZETI LOTE LA JAMVI LA HABARI APRILI 14/2025
BAISKELI ILIVYOKATISHA MAISHA YA BOSI TANESCO
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 14, 2025
BAISKELI ILIVYOKATISHA MAISHA YA BOSI TANESCO NA MWANDISHI WETURAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 12, 2025
DK. BITEKO: HAKUNAMAENDELEO BILA AMANI NA MWANDISHI WETUNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuendeleza fikra za Mwl. Nyerere kwa kuwekeza katika sekta za…
PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 11, 2025
KUMEKUCHA CCM Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi CCM, kimetangaza tarehe rasmi itakayoanza mchakato wa kuanza kuchukua fomu na kurejesha kwa wanachama wake, kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi…
🛑IBADA YA KUMUOMBEA MUZIKI MALU STONCH YAFANYIKA SALA SALA
Viongozi wa Parokia ya Mtakatifu Benedict Abbas iliyopo eneo la Salasala, Kata ya Wazo, Wilayani Kinondoni, wameendesha Ibada Maalum ya kumuombea aliekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya FM Academia Malu…
CHECHEFU WAKWAMA
Na. Mwandishi wetu Mahakama ya Rufaa imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya biashara katika moja ya kesi maarufu za mikopo chechefu baina ya kampuni ya State Oil dhidi ya…
CHECHEFU WAKWAMA, WAPIGWA CHINI MAHAKAMA YA RUFAA
Na. Mwandishi wetu, Mahakama ya Rufaa imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya biashara katika moja ya kesi maarufu za mikopo chechefu baina ya kampuni ya State Oil dhidi…
MBOWE ATIMIZA MIONGO MIWILI KITINI
Na. Mwandishi wetu, Imetimia miaka 20 kamili tangu kuingia madarakani kwa mwemyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe maarufu kama Kamanda wa Anga ama Kaka Mbowe…
DKT.DIMWA : ANENA JUU YA MUUNGANO.
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi za Serikali zote mbili katika kuimarisha Muungano wa…