SAGINI AKEMEA BODABODA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA KUCHOMA BASI.
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataja bodaboda kama kundi linaloongoza kukiuka sheria barabarani huku wakijichukulia sheria mkononi akihusisha na tukio lilotokea siku ya jana Februari…
Wananchi Singa waitaka bodi ya Maji kuvujwa kutokana na kero, kuhujumu Mradi
Na Ashrack Miraji kilimanjaro Mwaandishi wetu alifika kijijini hapo na kupita katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye ofisini za vijiji, kwenye maeneo ya biashara na baadhi ya familia na kushuhudia bomba…
🛑 DKT. BITEKO AENDELEA NA UKAGUZI WA VYANZO VYA KUZALISHA UMEME ATUA KIDATU
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara ya kukagua vyanzo mbalimbali vya uzalishaji umeme nchini ambapo leo amekagua Bwala la kuzalisha umeme la…
🛑 TANAPA YASEMA UJAUZITO MWISHO SHULE YA SEKONDARI SITALIKE – MPANDA
Na. Jacob Kasiri - Mpanda. Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara - TANAPA Herman Batiho amekagua Bweni la wasichana jana Februari 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Sitalike…
🛑 TANZANIA NA BURUNDI WASAINI MKATABA WA KIBIASHARA
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri Bakari akipokea zawadi kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Burundi Backbone System (BBS), Bw. Jeremie Diomede Hageringwe, baada ya zoezi la utiaji saini Mkataba wa…
🚨 MAPINDUZI MAKUBWA YAJA SEKTA YA UONGEZAJI THAMANI MADINI
Tanzania na Thailand Zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kupitia Taasisi za Jemolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (TGC) na Taasisi ya Jemolojia, Vito na Usonara ya Thailand (GIT) inayolenga…
🛑 SERIKALI IMEDHAMIRIA KUWAONDOA WACHIMBAJI WADOGO KWENYE UCHIMBAJI WA KUBAHATISHA
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata taarifa sahihi za…
🛑 TTCL NA BBS ZASAINI HATI YA MKATABA WA KIBIASHARA KUONGEZA HUDUMA KWENYE MKONGO WA MAWASILIANO
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Shirika la Mawasiliano la Burundi (BBS ) zimetiliana Saini hati ya mkataba wa Kibiashara Wenye lengo la kuongeza huduma kwenye Mkongo wa mawasiliano. Mkataba…