🛑WAJASIRIAMALI KULA DODO UENYEJI WA CHAN, AFCON
Kongamano la wadau wa michezo kuelekea CHAN 2024 na AFCON 2027 lililofanyika Johari Rotana januari 15,2025 limeweka wazi juu ya ujio wa fursa nyingi zitakazo patikana wakati wa mashindano ambapo…
🛑BITEKO ATAKA ‘TAIFA STARS’ KUUNGWA MKONO
NA MWANDISHI WETU KUSOGEZWA mbele kwa fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) kulikofanywa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kumeiibua Serikali iliyosema miezi sita inatosha…
🛑WAKUU AFRIKA KUKUTANA DAR KUTATUA NISHATI
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuharakisha upatikanaji umeme kwa…
🛑MILANGO YA UWEKEZAJI ZANZIBAR IKO WAZI : DR. MWINYI
NA MWANDISHI WETU, Z’bar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri zaidi ya kuwavutia wawekezaji zaidi kuwekeza nchini.…
🛑DKT SAMIA: TUTACHOCHEA UCHUMI
NA MWANDISHI WETU RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza Tanzania itaendelea kuwa nchi ya kutegemewa katika kukuza ushirikiano wa kimataifa, kuchochea ukuaji wa kiuchumi, na kudumisha amani na usalama barani…
🔴MANCHESTER UNITED : NENE BADO KIDOGO.
⚪️ Manchester United wamemuongeza Nene Dorgeles winga mwenye umrinwa miaka 22 kutokea Mali 🇲🇱 kwenye orodha ya wachezaji wanao wahitaji kwenye majira ya baridi, Kijana huyo raia wa Mali anaekipiga…
UPINZANI WAPINGA UCHAGUZI COMORO🇰🇲
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani na kiongozi wa upimzani katika taifa la Bahari ya Hindi la Comoro apinga matokeo ya uchaguzi wa wabunge, ambao ulisusiwa na wapinzani, kwa…
100 WAFARIKI MGODINI SOUTH AFRIKA
Wanaosadiskika kuwa Wachambaji madini haramu 100 kwenye mgodi wa dhahabu usiofanya kazi Afrika Kusini wafariki baada ya kunasa chini ya mgodi huo kwa miezi kadhaa huku polisi wakijaribu kuwaondoa .…
NBA IMEPAMBA MOTO LEO KWA MICHEZO SITA KUPIGWA.
Alfajir ya kuamkia Leo tarehe 14/01/2025 imechechezwa michezo sita katika ligi ya mpira wa kikapu Marekani (NBA) ambapo michezo minne imemalizika na mingine miwili ikiwa inaendelea. Michezo iliyo malizika. Washington…


