Ole Leikata: Mil 700 za Rais Samia zamaliza ujenzi wa daraja korofi la Kiseru wilayani Kiteto
Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali…
ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda…
Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza…
Venezuela yawakamata watu 32 kwa madai ya njama ya kumuua Rais Maduro
Mamlaka ya Venezuela imewakamata raia 32 na wanajeshi baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa kuhusu kuhusika kwao katika “njama” inayoungwa mkono na Marekani ya kumuua Rais Nicolas Maduro, ofisi ya…
Watu 18 wamefariki baada ya lori kukosea njia Kusini Magharibi mwa Congo
Lori lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi lilishindwa kudhibitiwa na kutumbukia kwenye korongo kusini-magharibi mwa Congo, na kuua abiria 18 waliokuwa ndani ya gari hiyo na kuwajeruhi zaidi ya kumi…
Rais mpya wa Liberia aapishwa
Joseph Boakai ameapishwa kuwa rais wa Liberia siku ya Jumatatu kufuatia ushindi wake dhidi ya nyota wa zamani wa soka George Weah, kwa changamoto ya kukabiliana na umaskini na ufisadi.…