⚽MANCHESTER UNITED KUNA VIMEO WANANE, England
WAPO NANE! Imeelezwa Manchester United kuna wachezaji nane ambao hawana sifa za kuichzea timu hiyo, huku ikidaiwa hata ufikaji wao hapo inabidi ‘waulizwe kwa makini’ wale waliowaleta. Kauli hiyo imetolewa…
⚽SIMBA: TUNAOGOPWA AFRIKA
NA ASHA SEKEFUWACHEZAJI Simba wametoa yao ya moyoni na kusema, kufanikiwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wakiongoza kundi lao kumeifanya timu hiyo izidi kuogopwa zaidi barani…
⚽GARNACHO HACHOMOKI LONDON.
LONDON, EnglandTIMU ya Chelsea wanatazamiwa kufanya mazungumzo zaidi na Manchester United kuhusu winga wa Argentina Alejandro Garnacho, 20, ambaye thamani yake ni pauni milioni 50. Wakati hayo yakiendelea, Manchester United…
⚽CUNHA SASA AGOMBEWA
LONDON, EnglandMABOSI wa Nottingham Forest wanataka kumsajili Matheus Cunha Januari hii, Arsenal pia wameonyesha nia ya kutaka kumsaini mshambuliaji huyo wa Wolves. Nottingham Forest kwa sasa inamtaka kwa udi na…
🚨NOTI MPYA KUANZA FEBRUARI MOSI
NA MWANDISHI WETUGAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema kuwa noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za…
🔴 HUSSEIN MWINYI:TUJIANDIKISHE TUPIGE KURA,CCM ISHINDE KWA KISHINDO
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Hussein Ali Mwinyi…
🔴 TANAPA YAWAPA MAFUNZO JWTZ JINSI YA KUDHIBITI MOTO.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) jana Januari 20, 2025 limeendesha mafunzo maalum kwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jinsi ya kudhibiti mioto kichaa inayotokea ndani…


