🛑MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WAJA NA MAJAABU YAKE DODOMA
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mfululizo, tarehe 18 na 19 Januari 2025, jijini Dodoma. Mkutano huu ni tukio kubwa na la kihistoria kwa…
🛑MWENDESHA MASHTAKA MKUU WA ICC AIKANA ISRAEL
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC anasema Israel haikufanya 'juhudi za kweli' kuchunguza uhalifu wa Gaza Utetezi wa Karim Khan dhidi ya tuhuma za uhalifu wa kivita wa Gaza dhidi ya…
🛑MUUAJI WA JIMMY MIZEN AREJESHWA GEREZANI
Muimbaji wa muziki wa rapper (drill’s rapper) ambaye alijigamba kuhusu mauaji ya kikatili ya mvulana wa madhabahuni Jimmy Mizen kwa maneno ya wimbo anarudishwa gerezani kwa kukiuka msamaha Mwanamuziki huyo…
🛑ERLING HAALAND MPAKA 2034 CITY
Erling Haaland amesaini Mkataba mkubwa kuliko wote wa Ligi Kuu ya Uingereza na Mkataba mpya wa miaka tisa na nusu huko Man City - na baadhi ya vifungu katika mkataba…
🛑KIBWANA SHOMARI INN ,KOUASSI ‘OUT’ YANGA
KWA mujibu wa taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga ni kwamba beki wake wa kushoto Yao Kouassi, hatukuwa miungoni mwa wachezaji watakaotumika katika kikosi cha timu hiyo kitakachoivaa MC Alger…
🛑 DKT. PINDI CHANA AWAPONGEZA DKT. SAMIA NA DKT. MWINYI KUKUZA UTALII
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibad Dkt Hussein Ali Mwinyi wamepongezwa kwa juhudi zao za makusudi kukuza utalii katika Jamhuri ya…
🛑WAZIRI KHAN MIAKA 14 JELA, TUHUMA YA RUSHWA
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya rushwa. Mwanasiasa huyo ambaye tayari amefungwa gerezani na mkewe wanatuhumiwa…
🦁HIFADHI YA SAADANI INAVYOCHAGIZA MAENDELEO BAGAMOYO NA DAR ES SALAAM
NA JIMMY CHIKA ILIKUWA Saadan iliyogubikwa na giza, umasikini uliochagizwa ukosefu wa huduma za kijamii na kulifanya eneo hilo lisifikike kwa urahisi kutokea katika Miji mikubwa inayolizunguka kama vile yalipo…