🔴 NI WASIRA,KAMA HAUTAKI BASI.
Chama cha mapinduzi CCM baada ya kipindi kifupi kukaa bila makamu mwenyekiti wa chama kupitia katiba yao kimemtambulisha Ndg. STEVEN MASATU WASIRA kuwa makamu mwenyekiti wa CCM. Ni baada ya…
🔴 DKT. SAMIA : KINANA ANAPUMZIKA BAADA YA KUTUMIKIA CCM KWA MUDA MREFU.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu amemshukuru kinana kwa kwa wakati wake wote aliokitumika chama cha mapinduzi na kuwa kada muaminifu, mtiifu na mzalendo wa chama. Aidha amemshukuru kwa kutumikia serikali katika…
🔴 WATU ZAIDI YA 5000 KWENYE MKUTANO WA MKUU CCM
mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika Leo tarehe 18 Januari 2025 jijini dodoma, ni mkutano wa kihistoria wenye mambo mengi ya kujenga Tanzania mpya na kuimarisha chama cha mapinduzi…
🛑MKATABA WA HAALAND WAIBUA MAPYA KWA MASHABIKI WA MPIRA
Mshambuliaji mahiri wa Norway, Erling Haaland, ameweka rekodi mpya baada ya kusaini mkataba wa miaka tisa na nusu na klabu ya Manchester City. Mkataba huo mkubwa, ambao utaweka mustakabali wake…
🛑TIK TOK MARUFUKU KUTUMIKA MAREKANI
Mahakama ya Juu zaidi imeruhusu marufuku ya TikTok kuanza kutekelezwa nchini Marekani siku chache kabla ya Rais mteule Donald Trump kuapishwa kuwa rais. Mahakama ilitoa uamuzi wake Ijumaa baada ya…
🛑REKODI YA AMAD WA MAN U INATISHA EPL
Tangu kocha Ruben Amorim apewe jukumu la kuismamia Manchester united, ni kama vile imekuwa kheri kwa Amad, amekuwa akimpa nafasi katika mechi kadha wa kadha, na bahati nzuri kila anapopewa…
🛑SAMIA AMWAGA BIL. 28/- SEKTA YA MIFUGO
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kufanya kweli kwa Watanzania baada ya kutoa kiasi cha Sh bilioni 28.1 katika sekta ya mifugo ili kutekeleza mapinduzi makubwa katika mifugo. Hayo yamebainishwa…
🛑JE MWISHO WA KUTOA MATUNZO YA MTOTO NI MIAKA MINGAPI ?.
NA BASHIR YAKUB - WAKILI Matunzo ya mtoto hasa kwa wazazi waliotengana ni pamoja na chakula, makazi, mavazi, elimu, pamoja na malezi bora. Wazazi wote kwa pamoja yaani baba na…
🛑MIRADI YA UWEKEZAJI YA DK. SAMIA YAVUTIA MITAJI YA MABILIONI YA FEDHA
wakati mwingine si lazima uwe ‘Tomaso’ ili uweze kuamini na kuona kile kinachofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuvutia wawekezaji hapa nchini, kwani yote yanajidhihirisha wazi bila ficho…