Keti chini salama katika eneo hili ufanye tafakuri za kina juu ya baraka za mungu hapa Tanzania, Rasilimali watu na rasilimali vitu ambavyo ni baraka na fursa kwa Tanzania na Watanzani kutoka kwa mungu.
Ni gazeti la Busati linalokuangazia juu ya fursa na utalii hapa nchini, Leo kubwa zaidi ni Busati inakuletea historia ya mji mkongwe kilwa na namna ilivyo fursa kuwepo kwa mji huo mkongwe kwa wananchi na taifa.
