Walio pata muelekeo na kujidhatiti vyema katika kila wanachokifanya fikra zilihusika kati yao, lakini kupitia busara za walio mbele yao wakazipa nguvu fikra zao na zikawa pevu.
Leo gazeti la FIKRAPEVU linakuangazia taarifa tofauti tofauti za kukufanya ukomae kimawazo na kujua namna gani ya kufikia malengo kijamii, kiuchumi na kisiasa, Kubwa zaidi ni Historia imeandikwa Dodoma kwenye siku ya kuzaliwa ya CCM, ni sherehe ambazo zilikuwa zikifanyika lakini mara hii ni babu kubwa
“kupitia taarifa hii unajifunza kunawakati ukifika unapaswa kufanya vitu kwa ukubwa kwasababu wewe ni mkubwa mara zote”
