Leo tena jogoo amewika tumeamka na niishara ya kumekucha na tunapata taarifa zilizojiri.
Gazeti la kumekucha Leo limeangaza kwa ukubwa nguvu ya siasa katika maendeleo kwa kuosnyesha patashika za kutaja mafanikio ya taifa kwenye mikutano ya chama ili kuendea chaguzi mbalimbali.
Kweli tanzania haikuwa na umeme wala haikuwa na miundombinu bora. Ni siasa.
KUMEKUCHA LEO JAN 30, 2025.
Leave a comment
Leave a comment