Wakati watu wakiwaza namna ya kujisogeza na kwenda na kasi ya ulimwengu wanasahau kwamba wanahitaji masaada wa kuwa na fikra pevu na mwishowe wanafeli kuendana na kasi ya ulimwengu. Ni siasa,uchumi,michezo,burudani na teknolojia ndani ya Fikrapevu.
Leo januari 29, 2025 Fikrapefu bado inakuletea rikodi zinazoendelea kuwekwa na kuandikwa tanzania mabapo Dkt. Samia Suluhu Hassan anapita na wino wa waandishi wa habari kwa kufanya makubwa nchini na lazma yaandikwe, tusimulie jeneresheni Z.A.A huku Lissu akisubiriwa kwa mapokezi makubwa. Anasubiriwa wapi kwanini chukua nakala yako ya gazeti hili ujionee.