Leo januari 28 mwaka 2025 gazeti la Tanzania Bora limekuletea taarifa lukuki zinazohusu maendeleo ya Tanzania na namna serikali inavyozidi kupambania wananchi wake kwenye miundombinu lakini kubwa kuliko ni ile habari ya wajumbe wa mkutano wa nishati wanavyo sifu na kukubali maendeleo ya Tanzania.