mara kadhaa watu huketi na kujadili juu ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamimii, burudani na michezo katika sehemu tofauti tofauti, lakini hili jamvi ni kwaajili yako uketi nasi kwa kuchukua nakala kisha upate taarifa kemkem kutoka katika nyanja tofauti tofauti.
leo januari 28, 2025, miongoni mwa taaarifa kuu ni pamoja na Dkt. Samia ataka umeme kufika megawati 4000, huku wajumbe mkutano wa nishati wavutiwa na maensdeleo ya Tanzania na wakulima wafagilia ruzuku ya pembejeo ya Dkt. Samia.