Gazeti la Spoti Masta Leo limeangazia taarifa za michezo na burudani na miongoni mwa taarifa hizo ni Simba na Yanga wajua wabaya wao huku mpanzu anahasira bao kujua ni wakina nani chukua nakala ya gazeti lako na kule ulaya Rashford atupa dongo kwa Amorim.
