Gazeti la fikrapevu Leo limekuletea taarifa zinazogusa siasa, uchumi na jamii huku miongoni mwa taarifa zilizoshika kurasa ya mbele ni pamoja na Dkt. Biteko awalingania waislam kuhifadhi Qur’aan na habari nyingine ni tatizo la maji segerea limetatuliwa sasa mambo safi.
