“Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha” Sio maneno yangu ila ni maneno ya watanzania yaliyojaa uzalendo, kila mtu angetamani kuwa hapa Tanzania ilipo, tofauti na zamani Dar es Salaam umeme ulikuwa ukipatikana eneo moja tuu, lakini sasa mpaka huko Ngende, Maore, Sangulachole umeme upo.
Ni gazeti la Tanzania Bora linalokuangazia maendeleo ya Tanzania na miradi iliyobora na faida ya miradi hiyo kwa wananchi na pato la taifa. Leo kubwa ni “Dkt. Samia aing’arisha Dodoma kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM, huku Wasira akisema mitambo imesetiwa ikotayari” tayari kwanini soma ujionee.
