Acha kiti, shuka chini uketi kwenye jamvi lenye habari za kujali kuketi kwako chini na kukupa thamani ya kuwa miongoni mwa walio thaminiwa na kuhabarishwa.
Leo JAMVI LA HABARI Februari 5, 2025 limekuangazia taarifa kedekede za kijamii ,kiuchumi na kisiasa na kubwa zaidi Leo ni Dodo ma hapatoshi kwenye sherehe za miaka 48 ya Cha Mapinduzi CCM.