Ubora wa Tanzania huenda sambamba na watu walio bora ndani yake hivyo basi kila Mtanzania anasababu ya kujua ubora wake apige hatua kama ambavyo nchi inapiga hatua kwa miradi mbalimbali
Leo gazeti la Tanzania Bora limekuletea taarifa kedekede moja ya taarifa njema ni Tanzania kumaliza adha ya umeme.