Vua viatu shuka chini uketi na uarifiwe juu ya yanayoendelea katika maisha ya kilasiku kwenye jamvi hili la habari ni siasa, uchumi, jamii yaani ni mambo ya ulimwengu.
Leo katika jamvi la habari Siasa imeshika jiji la Dodoma na hapatoshi kwa taarifa za sherehe za miaka 48 ya CCM huku Dkt. Biteko aonya Uwepo wa makundi ndani ya CCM.