Mwanga wa jamii huangazwa kwa kuonyesha yaliyopo kwenye jamii na ambayo hayaonekani, Gazeti la Busati linakufungulia fursa kupitia rasilimali za Tanzania ambazo unahisi hazikuhusu ni za taifa tuu kama utalii miradi bora kwa ajili yako.
Leo linakuangazia namna utamaduni wako ulivyo fursa kwa watalii wa kigeni kwako wewe mtanzania wa sasa.