Sifa na utukufu zimueendee aliefanya watu na vitu kuwepo duniani kwani uwepo wa gazeti la jamvi la habari ni kuwa na tunu yakukupa thamani kwa habari mchanganyiko za kukufanya uwe mjuzi wa mambo.
Leo januari 29, 2025 hekaheka ni matamanio ya Lissu kupokelewa kama viongozi wa CCM. Je inawezekana kweli? Huku CCM ushindi wake ukidaiwa sababu ni kutekeleza ilani yake. Lissu amesema nini na kwanini CCM washinde kamata nakala ya gazeti la Jamvi la habari ujionee.