Leo januari 28, 2025. gazeti la mjasiriamali limefungua na kuonyesha fursa mbali mbali za kumuwezesha kila mtanzania kuwa sehemu ya wanufaika wa mazao ya uongozi bora wa nchi kupitia fursa wanazo zalisha kwa wananchi. Lakini kubwa ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuishusha pumzi Afrika.Hii ni katika hotuba yake kwenye mkutano wa Mission 300 unaofanyika Dar es salaam.