leo Kumekucha imekuja na taarifa nyingi za kukugusa mtanzania na miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na ile ya SGR kuongeza safari za treni,huku kibaha ikipandishwa hadhi na Dkt. Samia na kubwa kuliko ni shirika la umoja wa mataifa Duniani United Nation (UN) ya mpongeza Dkt. Samia.
kwanini kapongezwa kamata na kala ya gazeti hili ujionee sababu.