kung’amua ni sehemu ya maisha ya kilasiku, lakini ili ung’amue vyema na kuzaa matunda kupitia mchakato huo wa kung’amua, lazma uwe na tafakuri kubwa zitakazo zaa fikira pevu ili utatue changamoto zako na za zajamii. Sasa una jukumu la kutatua matatizo tuu matatizo kwasababu gazeti la FIKRAPEVU limesha maliza mchakato wa ugunduzi na kukuletea taarifa.
leo gazeti la Fikrapevu limekuletea habari lukuku za kukujuza yanayojiri ulimwenguni kwenye siasa, uchumi, michezo na burudani.