Kwa sifa za Tanzania hakuna taifa la kufanana na Tanzania kwa sababu ya upekee wake wa kumiliki rasilimali nyingi za kipekee ulimwenguni, mafuta kutoka kwenye visima huko uarabuni tanzania yapo, gesi pia ipo, madini yapo, mito na maziwa vipo, rasilimali za bahari zipo, wanyama kutoka jamii mbali mbali wapo, wanyama wa kipekee kama vile twiga wapo na madini ya kipekee kama vile Tanzanite yaaaaapo.
yote haya yanapatikana katika kurasa za gazeti la Busati na leo januari 28, 2025, zipo taarifa nyingi za kukufanya utambue upekee wa tanzania na kubwa kuliko ikiwa ni taarifa Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. Samia kuipa neno Afrika.